(Go: >> BACK << -|- >> HOME <<)

Nenda kwa yaliyomo

Maragua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:21, 30 Mei 2021 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Maragua, Kenya


Maragua
Nchi Kenya
Kaunti Murang'a
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 32,315

Maragua ni mji wa Kenya ya Kati, katika kaunti ya Murang'a.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 32,315[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.