(Go: >> BACK << -|- >> HOME <<)

Nenda kwa yaliyomo

Maragua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Maragua, Kenya


Maragua
Nchi Kenya
Kaunti Murang'a
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 32,315

Maragua ni mji wa Kenya ya Kati, katika kaunti ya Murang'a.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 32,315[1].

Tazama pia

Tanbihi

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.