(Go: >> BACK << -|- >> HOME <<)

Nenda kwa yaliyomo

Mto Lagh Dera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Lagh Dera ni korongo linalopatikana nchini Kenya na Somalia.

Ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]