(Go: >> BACK << -|- >> HOME <<)

Siriako wa Buonvicino

Siriako wa Buonvicino (Buonvicino, mkoa wa Calabria, Italia, karne ya 10 – Buonvicino, 19 Septemba 1030) alikuwa abati maarufu wa wamonaki wa Ukristo wa Mashariki katika Italia Kusini, mfuasi wa Nilo wa Rossano [1].

Sanamu ya Mt. Siriako.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tarehe ya kifo chake ndiyo sikukuu yake[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • (Kiitalia) Mario Cristiano e Mariangela Giglio, San Ciriaco di Buonvicino, Scalea, La Poligrafica, 2007.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.