Elton John : Tofauti kati ya masahihisho
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: sh:Elton John; cosmetic changes |
d roboti Nyongeza: sr:Елтон Џон |
||
Mstari 97: | Mstari 97: | ||
[[sk:Elton John]] |
[[sk:Elton John]] |
||
[[sl:Elton John]] |
[[sl:Elton John]] |
||
[[sr:Елтон Џон]] |
|||
[[sv:Elton John]] |
[[sv:Elton John]] |
||
[[th:เอลตัน จอห์น]] |
[[th:เอลตัน จอห์น]] |
Pitio la 01:44, 1 Februari 2010
Elton John | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Elton John |
Nchi | Uingereza |
Alizaliwa | 25 Machi 1947 |
Aina ya muziki | Rock Pop Piano rock Glam rock |
Kazi yake | Mmanamuziki Mwimbaji-mtunzi Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1964- hadi leo |
Ala | Sauti Kindanda |
Kampuni | Uni MCA Geffen Rocket/Island Universal Interscope Mercury UMG |
Sir Elton Hercules John (jina la kuzaliwa: Reginald Kenneth Dwight tar. 25 Machi 1947) ni mwimabji wa muziki wa pop- rock, mtunzi na mpigaji kinanda kutoka nchni Uingereza. Alianza kuwa maarufu kunako miaka ya 1970 hivi, pale yeye na mtunzi mwingine wa nyimbo ajulikanae kwa jina la Bernie Taupin kuandika nyimbo nyingi walizokuwa wakiimba katika maukumbi mbalimbali na hata zingine kuzikurekodi.
John ameanza kuwa nyota aliye-maarufu, sio kwa uwezo wake tu wa kimuziki tu, bali hata akiwa ukumbini huwa na yeye anaruka majoka (kucheza). John pia alitunga nyimbo nyingi kwa ajili ya filamu, filamu hizo ni kama vile ya The Lion King (1994) na The Road to El Dorado (2000) na pia huwa anafanya kazi za kujitolea.
Katika kumbukumbu ya Princess Diana, Elton alitoa tena kile kibao chake cha Candle in the Wind mnamo mwaka 1997, lakini nyimbo halisi ilitungwa kwa ajili ya Marilyn Monroe. Nyimbo hiyo ilitamba sana na ikawa miongoni mwa nyimbo maarufu na zenye mauzo ya juu kwa muda wote (kuuzwa kwa muda miaka 100). John vilevile ni mlawiti na alijitangaza kama anafanya mambo hayo kunako mwaka 1976.
Ilivyofika mwaka 1984, John akamwoa mtayarishaji muziki wa Kijerumani Bi. Renate Blauel katika sikukuu ya wapendanao, mjini Sydney, lakini walitarikiana baada ya miaka minne mbele. Baadaye John alitangaza tena ule mchezo wake wa ulawiti, ila amekuja kivingine, safari hii yeye ndiye ana lawitiwa (msenge) badala ya yeye kulawiti wenziye.
Mwaka wa 1998 Elton John alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.
Viungo vya nje
- Elton John discography katika MusicBrainz
- Elton John's official website
- Elton John AIDS Foundation (EJAF)
- Elton John kwenye Internet Movie Database
- Official Elton John MySpace
- Disney Legends profile
- Cornflakes & Classics--A Musical History of Elton John
- Elton John at Live 8
- Larry King Live: Transcript of Elton John Interview on 25 January 2002
- Spots related to Elton John's childhood and career
- Eltonography The online illustrated Elton John discography
- Elton John's Photo Acceptable After All - Javno News
- [http://ap.google.com/article/ALeqM5h67IbnwZPh6ltxqb2CCKa5UCk93gD8SH2RMG0 Photo Owned By Elton John Isn't Indecent - AP
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elton John kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |