(Go: >> BACK << -|- >> HOME <<)

Nenda kwa yaliyomo

Elton John : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imebadilisha: ko:엘턴 존ko:엘튼 존
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.5
 
(marekebisho 9 ya kati na watumizi wengine 6 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 17: Mstari 17:
}}
}}


'''Sir Elton Hercules John''' (jina la kuzaliwa: '''Reginald Kenneth Dwight''' tar. [[25 Machi]] [[1947]]) ni mwimabji wa muziki wa pop- rock, mtunzi na mpigaji kinanda kutoka nchni [[Uingereza]]. Alianza kuwa maarufu kunako miaka ya [[1970]] hivi, pale yeye na mtunzi mwingine wa nyimbo ajulikanae kwa jina la Bernie Taupin kuandika nyimbo nyingi walizokuwa wakiimba katika maukumbi mbalimbali na hata zingine kuzikurekodi.
'''Sir Elton Hercules John''' ([[jina]] la kuzaliwa: '''Reginald Kenneth Dwight'''; [[25 Machi]] [[1947]]) ni [[mwimbaji]] wa [[muziki]] wa pop-rock, [[mtunzi]] na mpigaji [[kinanda]] kutoka nchini [[Uingereza]]. Alianza kuwa maarufu kunako miaka ya [[1970]], pale yeye na mtunzi mwingine wa [[nyimbo]] ajulikanae kwa jina la [[Bernie Taupin]] kuandika nyimbo nyingi walizokuwa wakiimba katika [[ukumbi|kumbi]] mbalimbali na hata nyingine kuzikurekodi.


John ameanza kuwa nyota aliye-maarufu, sio kwa uwezo wake tu wa kimuziki tu, bali hata akiwa ukumbini huwa na yeye anaruka majoka (kucheza). John pia alitunga nyimbo nyingi kwa ajili ya filamu, filamu hizo ni kama vile ya The Lion King (1994) na The Road to El Dorado (2000) na pia huwa anafanya kazi za kujitolea.
John ameanza kuwa nyota maarufu, si kwa uwezo wake tu wa kimuziki tu, bali hata akiwa ukumbini huwa na yeye anaruka majoka (kucheza). John pia alitunga nyimbo nyingi kwa ajili ya [[filamu]]: filamu hizo ni kama vile ya The Lion King (1994) na The Road to El Dorado (2000) na pia huwa anafanya kazi za kujitolea.


Katika kumbukumbu ya [[Princess Diana]], Elton alitoa tena kile kibao chake cha Candle in the Wind mnamo mwaka [[1997]], lakini nyimbo halisi ilitungwa kwa ajili ya [[Marilyn Monroe]]. Nyimbo hiyo ilitamba sana na ikawa miongoni mwa nyimbo maarufu na zenye mauzo ya juu kwa muda wote (kuuzwa kwa muda miaka 100).
Katika kumbukumbu ya [[Princess Diana]], Elton alitoa tena kile kibao chake cha Candle in the Wind mnamo mwaka [[1997]], lakini wimbo halisi ulitungwa kwa ajili ya [[Marilyn Monroe]]. Wimbo huo ulitamba sana ukawa miongoni mwa nyimbo maarufu na zenye mauzo ya juu kwa muda wote (kuuzwa kwa muda miaka 100).
John vilevile ni mlawiti na alijitangaza kama anafanya mambo hayo kunako mwaka 1976.
John vilevile ni [[shoga]] na alijitangaza kama anafanya mambo hayo kunako mwaka [[1976]].


Ilivyofika mwaka 1984, John akamwoa mtayarishaji muziki wa [[Ujerumani|Kijerumani]] Bi. Renate Blauel katika sikukuu ya wapendanao, mjini [[Sydney]], lakini walitarikiana baada ya miaka minne mbele. Baadaye John alitangaza tena ule mchezo wake wa ulawiti, ila amekuja kivingine, safari hii yeye ndiye ana lawitiwa ([[msenge]]) badala ya yeye kulawiti wenziye.
Ilivyofika mwaka 1984, John akamwoa mtayarishaji muziki wa [[Ujerumani|Kijerumani]] Renate Blauel katika [[sikukuu ya wapendanao]], mjini [[Sydney]], lakini walitalikiana baada ya miaka minne. Baadaye John alitangaza tena ule mchezo wake wa ulawiti, ila amekuja vingine, safari hii yeye ndiye analawitiwa ([[msenge]]) badala ya yeye kulawiti wenziye.


Mwaka wa [[1998]] Elton John alipewa cheo cha "Sir" cha [[Uingereza]].
Mwaka wa [[1998]] Elton John alipewa [[cheo]] cha "[[Sir]]" cha [[Uingereza]].


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
* {{MusicBrainz artist|id=b83bc61f-8451-4a5d-8b8e-7e9ed295e822|name=Elton John}}
* {{MusicBrainz artist|id=b83bc61f-8451-4a5d-8b8e-7e9ed295e822|name=Elton John}}
* [http://www.eltonjohn.com Elton John's official website]
* [http://www.eltonjohn.com Elton John's official website]
* [http://ejaf.org/welcome.html Elton John AIDS Foundation (EJAF)]
* [http://ejaf.org/welcome.html Elton John AIDS Foundation (EJAF)] {{Wayback|url=http://ejaf.org/welcome.html |date=20061007013419 }}
* {{imdb name|id=0005056|name=Elton John}}
* {{imdb name|id=0005056|name=Elton John}}
* [http://www.myspace.com/eltonjohn Official Elton John MySpace]
* [http://www.myspace.com/eltonjohn Official Elton John MySpace]
* [http://legends.disney.go.com/legends/detail?key=Elton%20John Disney Legends profile]
* [http://legends.disney.go.com/legends/detail?key=Elton%20John Disney Legends profile]
* [http://www.whizzo.ca/elton/ Cornflakes & Classics--A Musical History of Elton John]
* [http://www.whizzo.ca/elton/ Cornflakes & Classics--A Musical History of Elton John] {{Wayback|url=http://www.whizzo.ca/elton/ |date=20080308210408 }}
* [http://www.thelive8concert.com/elton.htm Elton John at Live 8]
* [http://www.thelive8concert.com/elton.htm Elton John at Live 8] {{Wayback|url=http://www.thelive8concert.com/elton.htm |date=20080222184154 }}
* [http://transcripts.cnn.com/TRANSCRIPTS/0201/25/lkl.00.html Larry King Live: Transcript of Elton John Interview on [[25 January]] [[2002]]]
* [http://transcripts.cnn.com/TRANSCRIPTS/0201/25/lkl.00.html Larry King Live: Transcript of Elton John Interview on [[25 January]] [[2002]]]
* [http://www.onthisveryspot.com/search.php?ss=Elton_John Spots related to Elton John's childhood and career]
* [http://www.onthisveryspot.com/search.php?ss=Elton_John Spots related to Elton John's childhood and career]
* [http://www.eltonography.com/index.html Eltonography] The online illustrated Elton John discography
* [http://www.eltonography.com/index.html Eltonography] The online illustrated Elton John discography
* [http://www.javno.com/en/lifestyle/clanak.php?id=93426 Elton John's Photo Acceptable After All - Javno News]
* [http://www.javno.com/en/lifestyle/clanak.php?id=93426 Elton John's Photo Acceptable After All - Javno News] {{Wayback|url=http://www.javno.com/en/lifestyle/clanak.php?id=93426 |date=20080307163006 }}
* [http://ap.google.com/article/ALeqM5h67IbnwZPh6ltxqb2CCKa5UCk93gD8SH2RMG0 Photo Owned By Elton John Isn't Indecent - AP]
* [http://ap.google.com/article/ALeqM5h67IbnwZPh6ltxqb2CCKa5UCk93gD8SH2RMG0 Photo Owned By Elton John Isn't Indecent - AP] {{Wayback|url=http://ap.google.com/article/ALeqM5h67IbnwZPh6ltxqb2CCKa5UCk93gD8SH2RMG0 |date=20071028142853 }}


{{mbegu-mwanamuziki-Ulaya}}
{{mbegu-mwanamuziki-Ulaya}}
Mstari 47: Mstari 47:
{{DEFAULTSORT:John, Elton}}
{{DEFAULTSORT:John, Elton}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1947]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1947]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Uingereza]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Uingereza]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Watu waliopewa cheo cha "Sir"]]
[[Jamii:Watu waliopewa cheo cha "Sir"]]

[[als:Elton John]]
[[an:Elton John]]
[[ar:إلتون جون]]
[[az:Elton Con]]
[[be:Элтан Джон]]
[[be-x-old:Элтан Джон]]
[[bg:Елтън Джон]]
[[bn:এলটন জন]]
[[ca:Elton John]]
[[cs:Elton John]]
[[cy:Elton John]]
[[da:Elton John]]
[[de:Elton John]]
[[el:Έλτον Τζων]]
[[en:Elton John]]
[[eo:Elton John]]
[[es:Elton John]]
[[et:Elton John]]
[[eu:Elton John]]
[[fa:التون جان]]
[[fi:Elton John]]
[[fo:Elton John]]
[[fr:Elton John]]
[[ga:Elton John]]
[[gl:Elton John]]
[[he:אלטון ג'ון]]
[[hr:Elton John]]
[[hu:Elton John]]
[[id:Elton John]]
[[io:Elton John]]
[[is:Elton John]]
[[it:Elton John]]
[[ja:エルトン・ジョン]]
[[jv:Elton John]]
[[ka:ელტონ ჯონი]]
[[kk:Элтон Джон]]
[[ko:엘튼 존]]
[[lt:Elton John]]
[[lv:Eltons Džons]]
[[mk:Елтон Џон]]
[[mrj:Элтон Джон]]
[[nl:Elton John]]
[[nn:Elton John]]
[[no:Elton John]]
[[oc:Elton John]]
[[pl:Elton John]]
[[pt:Elton John]]
[[ro:Elton John]]
[[ru:Джон, Элтон]]
[[sh:Elton John]]
[[simple:Elton John]]
[[sk:Elton John]]
[[sl:Elton John]]
[[sr:Елтон Џон]]
[[sv:Elton John]]
[[th:เอลตัน จอห์น]]
[[tr:Elton John]]
[[uk:Елтон Джон]]
[[vec:Elton John]]
[[vi:Elton John]]
[[xmf:ელთონ ჯონი]]
[[zh:艾爾頓·約翰]]

Toleo la sasa la 03:28, 6 Novemba 2023

Elton John
Elton John
Elton John
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Elton John
Nchi Uingereza
Alizaliwa 25 Machi 1947
Aina ya muziki Rock
Pop
Piano rock
Glam rock
Kazi yake Mmanamuziki
Mwimbaji-mtunzi
Mtayarishaji
Miaka ya kazi 1964- hadi leo
Ala Sauti
Kindanda
Kampuni Uni
MCA
Geffen
Rocket/Island
Universal
Interscope
Mercury
UMG

Sir Elton Hercules John (jina la kuzaliwa: Reginald Kenneth Dwight; 25 Machi 1947) ni mwimbaji wa muziki wa pop-rock, mtunzi na mpigaji kinanda kutoka nchini Uingereza. Alianza kuwa maarufu kunako miaka ya 1970, pale yeye na mtunzi mwingine wa nyimbo ajulikanae kwa jina la Bernie Taupin kuandika nyimbo nyingi walizokuwa wakiimba katika kumbi mbalimbali na hata nyingine kuzikurekodi.

John ameanza kuwa nyota maarufu, si kwa uwezo wake tu wa kimuziki tu, bali hata akiwa ukumbini huwa na yeye anaruka majoka (kucheza). John pia alitunga nyimbo nyingi kwa ajili ya filamu: filamu hizo ni kama vile ya The Lion King (1994) na The Road to El Dorado (2000) na pia huwa anafanya kazi za kujitolea.

Katika kumbukumbu ya Princess Diana, Elton alitoa tena kile kibao chake cha Candle in the Wind mnamo mwaka 1997, lakini wimbo halisi ulitungwa kwa ajili ya Marilyn Monroe. Wimbo huo ulitamba sana ukawa miongoni mwa nyimbo maarufu na zenye mauzo ya juu kwa muda wote (kuuzwa kwa muda miaka 100). John vilevile ni shoga na alijitangaza kama anafanya mambo hayo kunako mwaka 1976.

Ilivyofika mwaka 1984, John akamwoa mtayarishaji muziki wa Kijerumani Renate Blauel katika sikukuu ya wapendanao, mjini Sydney, lakini walitalikiana baada ya miaka minne. Baadaye John alitangaza tena ule mchezo wake wa ulawiti, ila amekuja vingine, safari hii yeye ndiye analawitiwa (msenge) badala ya yeye kulawiti wenziye.

Mwaka wa 1998 Elton John alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elton John kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.